new mnyilinga logo

welcoooooome to NOVA-technologies


alright once again hii ni project ambayo imechukua muda mfupi tu kukamilika imepewa namba 5450 PRJ

  Imekamilika kwa kuchukua muda wa takribani masaa 4 tu ..kwako wewe unaweza sema masaa 4 ni mengi sana katika project ndogo kama hii lakini syo hivyo ni kutokana na jinsi tunavyo jitahidi kuzalisha image au logo ambazo syo copy kutoka katika chanzo chochote hapa duniani



tutumie email ✉️ kwenda  projectm992@gmail.com

   TUKO NA WEWE ! KWA LOGO DESIGNING








001