kila mtu ana ndoto ya kufanya kile anacho kitandani siku moja kije kuwa na manufaa sana kwake lakini hata kikundi cha watu yani Group lina ndoto zake na maono yake ya baadae je unaweza ukasema waandaaji wa movie huwa wana ushilikiano kiasi GANI mpaka kukamilisha project yenye kuingiza faida kubwa na istoshe kuelimisha jamii ?
Hii ni future ambayo ni ajabu lakini usishangae tunacho kiwaza sisi kama mnyilinga art group
MNYILINGA ART GROUP
Sisi ni kama hewa ambayo ina jazwa kila siku huku mungu ndiye chanzo cha yote uyaonayo kwetu lakini tunaamini kuna baadhi ya vitu vitakuja kuwa ni kama history kwetu bila nyie kujali na kuona tu mahali tutakapo kuwa wakati huo
Lengo letu ni kufanya kitu cha kushangaza ndani na nje ya mipaka ya nchi ya TANZANIA katika upande wa technologies je huamini ? Tunatamani kufika mbali zaidi ya walioko mbali muda huu je wao watakuwa umbali GANI?
Kama unapenda kile tunacho kifanya tumetapakaa kila kona ya mtandao unaweza kujiunga na group letu la facebook bonyeza jiunge chini
Bonyeza hyo button kuunganisha group FB
Facebook profile |
ELIUD NOVAT
Naitwa eliud novat ni CEO na mwanzilishi wa platform hii ya ENM team ya kimtandao ambayo kazi yake ni kukufahamisha na kufundisha mambo mengi ya technologies
BONYEZA PICHA YANGU KUNI FOLLOW FACEBOOK
posted by mnyilinga team