AHSANTE KWA KUTEMBELEA SITE YETU
Ijue dhamila ya website zetu zinazo milikiwa na ENM team
MNYILINGA PLATFORMS
Hellow guys team ya mnyilinga platform 64
-hellow guys tunapenda kuwa juza kuwa dhamila kuu ya hii team ya mnyilinga platform 64 ni team ambayo ina mpango wa kukuza nyanza ya Platform kwa leongo la kuelimisha na kutoa ujuzi wa aina mbalimbali MITANDAONI kwa njia ya saut videos na matangazo leongo letu kuu ni kujikita katika ulimwengu wa kidigitari wa uundaji wa kidigitari kama videos editing photos editing logo designing etc hapa sisi tutakuwa kama na team ya wafunzi watakao fanya kazi katika Platform hii ambayo inatalajiwa kuanza lasmi 2024
2024 programs
Leo tuta kujuza kila kitu usicho kifahamu kuhusu hii Platform ya mnyilinga 64 ambayo inatalajiwa kuanza lasmi kufanya kaz miaka ya hivi karibuni hii ni Platform ambayo itakuwa na fulsa nyingi sana za biashala za MITANDAONI namaanisha online marketing tunataka kujikita zaidi kuipa faida nchi yetu ya TANZANIA ambayo iko nyuma kidogo katika ulimwengu wa technologies
Je unajua kuhusu program zitakazo kuwepo ?
Siku paswa kukuuliza swali kama hili bali MOJA KWA MOJA nilipaswa kukwambia ni mambo gani yatafanyika katika Platform hii ya kidigitari itakayo anza miaka ya hivi karibuni hii inaandaliwa kwa muda mlefu sana na kwa gharama kubwa sana inatalajia kuja kutengeneza program mbalimbali za kutengeneza pesa kupitia mtandao kidigitari lakini kubwa zaidi ni kujikita katika utengeneze wa logo kali zaidi za kijanja photos editing videos editing na mafunzo yote kupitia mtandao wetu huu
Kuhusu gharama za mafunzo itakuwa ni lahisi sana ili kumuwezesha anae jifunza kujifunza bila vikwazo yani hili ni darasa la mtandaoni ambalo litakuwa lina funza maelfu kwa maelfu ya watu hii ndo lengo la hii Platform ya mnyilinga 64
enm pictures
646654PSR