TikTok tanzania Payment

Habari mtumiaji wa TikTok huu ni mtandao wa burudani ambao pia Kwa sasa utaweza kujipatia kipato kutokana na video unazo post Kila siku na viewers pamoja na like utaweza kulipwa Kila wiki na ku withdraw kiwango Cha chini kisicho zidi 50$ ambayo ni sawa na Tsh 125,749 na Ksh 8,112 tafadhari hakikisha unafuata maelezo yote chini kukamilisha zoezi la kutengeneza account ya malipo hakikisha una followers wasio pungua 1k na kisha uwe ume post video zako zilizo pungua 5 utaweza kulipwa kulingana na viewers walio tazama video yako kipindi Cha week Moja ulivo post fuata maelezo zaidi chini Kisha fuata utaratibu

ADS 1 OF 4

MNYILINGA TECHNOLOGIES NI WATAALAMU WA KUTENGENEZA LOGO,MABANGO,ONLINE COPY ZA NIDA 

78:00

enm team - logo designing tutorial

Tazama JINSI kazi ya logo editing inavyo fanywa


AHSANTE KWA KUTEMBELEA SITE YETU


Ijue dhamila ya website zetu zinazo milikiwa na ENM team 

MNYILINGA PLATFORMS 

Hellow guys team ya mnyilinga platform 64

-hellow guys tunapenda kuwa juza kuwa dhamila kuu ya hii team ya mnyilinga platform 64 ni team ambayo ina mpango wa kukuza nyanza ya Platform kwa leongo la kuelimisha na kutoa ujuzi wa aina mbalimbali MITANDAONI kwa njia ya saut videos na matangazo leongo letu kuu ni kujikita katika ulimwengu wa kidigitari wa uundaji wa kidigitari kama videos editing photos editing logo designing etc hapa sisi tutakuwa kama na team ya wafunzi watakao fanya kazi katika Platform hii ambayo inatalajiwa kuanza lasmi 2024 

2024 programs
Leo tuta kujuza kila kitu usicho kifahamu kuhusu hii Platform ya mnyilinga 64 ambayo inatalajiwa kuanza lasmi kufanya kaz miaka ya hivi karibuni hii ni Platform ambayo itakuwa na fulsa nyingi sana za biashala za MITANDAONI namaanisha online marketing tunataka kujikita zaidi kuipa faida nchi yetu ya TANZANIA ambayo iko nyuma kidogo katika ulimwengu wa technologies 

Je unajua kuhusu program zitakazo kuwepo ? 

Siku paswa kukuuliza swali kama hili bali MOJA KWA MOJA nilipaswa kukwambia ni mambo gani yatafanyika katika Platform hii ya kidigitari itakayo anza miaka ya hivi karibuni hii inaandaliwa kwa muda mlefu sana na kwa gharama kubwa sana inatalajia kuja kutengeneza program mbalimbali za kutengeneza pesa kupitia mtandao kidigitari lakini kubwa zaidi ni kujikita katika utengeneze wa logo kali zaidi za kijanja photos editing videos editing na mafunzo yote kupitia mtandao wetu huu 

Kuhusu gharama za mafunzo itakuwa ni lahisi sana ili kumuwezesha anae jifunza kujifunza bila vikwazo yani hili ni darasa la mtandaoni ambalo litakuwa lina funza maelfu kwa maelfu ya watu hii ndo lengo la hii Platform ya mnyilinga 64

enm pictures



646654PSR

supper editing team


 

kila mtu ana ndoto ya kufanya kile anacho kitandani siku moja kije kuwa na manufaa sana kwake lakini hata kikundi cha watu yani Group lina ndoto zake na maono yake ya baadae je unaweza ukasema waandaaji wa movie huwa wana ushilikiano kiasi GANI mpaka kukamilisha project yenye kuingiza faida kubwa na istoshe kuelimisha jamii ?

Hii ni future ambayo ni ajabu lakini usishangae tunacho kiwaza sisi kama mnyilinga art group



MNYILINGA ART GROUP

Sisi ni kama hewa ambayo ina jazwa kila siku huku mungu ndiye chanzo cha yote uyaonayo kwetu lakini tunaamini kuna baadhi ya vitu vitakuja kuwa ni kama history kwetu bila nyie kujali na kuona tu mahali tutakapo kuwa wakati huo 

Lengo letu ni kufanya kitu cha kushangaza  ndani na nje ya mipaka ya nchi ya TANZANIA katika upande wa technologies je huamini ?  Tunatamani kufika mbali zaidi ya walioko mbali muda huu je wao watakuwa umbali GANI?    

Kama unapenda kile tunacho kifanya tumetapakaa kila kona ya mtandao unaweza kujiunga na group letu la facebook bonyeza jiunge chini



Bonyeza hyo button kuunganisha group FB

eliud novat
Facebook profile

     ELIUD NOVAT

Naitwa eliud novat ni CEO na mwanzilishi wa platform hii ya ENM team ya kimtandao ambayo kazi yake ni kukufahamisha na kufundisha mambo mengi ya technologies

BONYEZA PICHA YANGU KUNI FOLLOW FACEBOOK  

posted by mnyilinga team









NEW MNYILINGA PROGRAM

 



OFA OFA OFA MAFUNZO YA KU TENGENEZA WEBSITE BUREEEE !!!! DOWNLOAD APP HYO CHINI

hellow guys ENM-team tulikuwa mbioni kutengeneza program ambayo ita kuwa ikijihusisha na elimu za mambo ya technologies kote duniani na hyo hyo program tumeiweka kwaajili ya kujifunza photos editing logo designing na mambo mengine kibao hii application ni zaidi ya DARASA kila kitu utakipata ndani yake ni zaidi ya hii tovuti kalibu sana pakua app hii uweze kuwa na sisi kwanzia sasa bonyeza button hyo chini moja kwa moja kupakua application ahsante

          Bonyeza button chini kupakua app yetu




tunaendelea na maboresho ya application yetu ya Mnyilinga-GP kwa maoni na ushauli tuma barua pepe kwenda projectm992@gmail.com

au  chati na mm whatsapp bonyeza chini




eliud-novat posted this







karibu katika ulimwengu wa kidigitari

 

Umefika !!!! Karibu sana

mungu ni mwema sana kwanza tafakari ni wangapi walio pata shida mbalimbali katika siku hii ya leo ? kuna vifo magojwa nk lakini wewe uko hai muda huu kuingia katika tovuti hii ni kwa neema zake mungu lakini kuingia kwako huku syo muhimu sana kuliko kutulia hapo ulipo na kumshukuru mungu wako aliye kuweka hai mpaka muda huu tumia angalau DK5 mshukuru mungu kisha rudi kwetu uendelee ku soma makara za humu ndani



Bonyeza button ya chini kupakua APP YETU download


download mnyilinga GP app humu ndani pia website imeunganishwa utajifunza mambo mengi sana buree kabisa bila gharama yeyote ile ni bando lako tu na muda ndivyo utakavyo vitumia bonyeza button hyo juu moja kwa moja nenda kapakue application yetu usipitwe na chochote kinacho endelea duniani katika ulimwengu wa sanaa na technologies sisi ni wewe na wewe ni sisi hatuwez kufanya chochote kikaonekana bila wewe unae soma makala hizi kwenye tovuti yetu jiunge na group letu whatsapp hapo chini bonyeza jiunge hapa pia utajifunza mengi zaidi ahsante kwa kuenderea kuwa nasi enm64


Bonyeza button ya chini kujiunga na group letu whatsapp

Tu support kwa ku follow page yetu ya Instagram ni lahisi sana kufika kwenye page yetu ya Instagram hutakiwi kutoka nje ya website hii kwenda kututafuta instagram 
Fanya kubonyeza tu hyo button ya FOLLOW ita kupeleka direct kwenye instagram page yetu 


Bonyeza button nyekundu kutu follow








oparated by mnyilinga team

enm-2022.web





mnyilinga official website visit now

 


Karibu sana !!!

huu ni ulimwengu wa sanaa katika website yako pendwa ya mnyilinga team inayo julikana kama enm64 nakukaribisha nikiwa kama CEO na mwanzilishi wa platform ya mnyilinga platform


Hapa utahitaji ufafanuzi je mnyilinga platform ni aje?

MNYILINGA

kutokana na utaalamu wangu wa mambo ya mitandao nilikuwa na ndoto one day nije kuanzisha platform yangu ambayo itakuwa ikifanya kazi kubwa sana na kuja kuwa chanzo cha ajila kwa vijana hapo baadae ikisha timia kukamilika kuundwa najua ni ndoto NGUMU sana lakini naamini katika hiki nikifanyacho kwa sababu si choki niki suppotiwa na wewe mtu wangu wa nguvu kabisa

Tunaomba support yako katika channel yetu ya YOUTUBE please subscribe BONYEZA button chini uende kwenye youtube channel usisahau ku SUBSCRIBE TAFAFHARI 

Bonyeza button ya chini kujiunga na youtube channel yetu mnyilinga platform tv

Tafafhari wewe ni wa muhimu sana kwetu na ahsante kwa kuenderea kuwa nasi usi pite bila kubonyeza button hyo juu ahsante endelea kusoma makala zetu mbalimbali habari za kimataifa zote zinapatikana katika application yetu ya Mnyilinga-GP


Published by eliud novat

6644-756 page










mnyilinga editing-team already now click to visit our web

 


Team at work now #mnyilinga photos editing & logo designing

 


new mnyilinga logo

welcoooooome to NOVA-technologies


alright once again hii ni project ambayo imechukua muda mfupi tu kukamilika imepewa namba 5450 PRJ

  Imekamilika kwa kuchukua muda wa takribani masaa 4 tu ..kwako wewe unaweza sema masaa 4 ni mengi sana katika project ndogo kama hii lakini syo hivyo ni kutokana na jinsi tunavyo jitahidi kuzalisha image au logo ambazo syo copy kutoka katika chanzo chochote hapa duniani



tutumie email ✉️ kwenda  projectm992@gmail.com

   TUKO NA WEWE ! KWA LOGO DESIGNING








001
2022 VISION

 





Karibu na ahsante KWA ku TEMBELEA blog yetu wewe ni wa muhimu kwetu tafadhari SUBSCRIBE katika blog hii usipitwe na kila kinacho endelea

BLOG HII INA ANDIKWA NA KUENDESHWA NA

ELIUD NOVAT MNYILINGA

mimi kama CEO wa project za ENM64-TEAM

Tuna kuhakikishia kukupatia kilicho bora zaidi ya jana KILA siku



mnyilingaeliud@gmail.com


+255 684 869 590




BONYEZA HAPA🛑


MP-64

Mnyilinga ni platform iliyoundwa lasmi mwaka 2021 KWA lengo la kuwa chanzo cha mambo MBALI MBALI

ENM
tunapenda kukufanamisha kuwa siku zote mwanzo huwa ni mgumu sana lakin kadri muda unavyo zidi tutakuwa bora zaidi kwako

        How are you today

I hope you are a healthy person. My name is eliud Novat. I am the main publisher and operator of the mnyilinga online platform











Tuko PAMOJA katika kukikuza kilicho chetu
Hey guys leo nimekuja na hii hapa next vission
Ya logo ya mnyilinga platform





New logo DESIGNING.   
Designed by: eliud novat
Powered by:  mnyilinga platform
Professional dsm:  enm group
Uploaded by :  mps group (mnyilinga photos studio)



72677








Mnyilinga picha studio 2022   

NA ELIUD NOVAT MNYLINGA 

2022


Katika mfumo wa maisha kila MTU ana future yake ambayo mimi kama eliud novat mnyilinga ambae Nina tarajia kusoma masomo ya IT INTERNET kutokana na kuwa Na msukumo wa ki asilia wa kupenda Sana Mambo yanayohusiana Na computer system technology Na kadhawakadha   Nina vitu vingi vyangu Ni kama. future ya baadae katika maisha ya hapa Duniani. Nitaeleza kiundani katika ukurasa mwingin e .+++++++±±
Mnyilinga eliud

    Happy New year ni 2022 hii hapa tena tunazidi Buchanan mbuga na kasi ya 4G kama siyo 5G kabisa. 
Ahsante mungu

Kama kawaida lengo letu sisi ni kuonesha jamii kuwa kila ki2 hapa duniani kinawezekana bila shaka kabisa 


Mnyilinga photos studio tunazidi kukuletea mambo mbalimbali yanayohusu ucholaji etc
  2343
Imechorwa ndani ya DK40 tu hii picha ya pesa nikiwa KIKUYUVILLAGE mpwapwa huko mkoani dodoma ni picha ambayo hata nilipo kuwa naichora sikuwa na malengo nayo wala sikuwa nimedhamilia kwaajili ya kuchora picha hii ila baadae nilikuja kujua picha hii ni ajabu ya mfumo wake kama uionavyo. hapo hakuna EDITING yeyote au athari za yoyote au athari za kifaa zaidi ya kalamu penseli na rangi za penseli 
                Ukweli picha hii sikuwahi kujua kuwa ina uzuli kiasi gan kwanza ni kama vile naweza katika commed na matumizi mengine kwa kanuni na mashart ya nchi na sheria pia kiujula any way wewe msomaji unae soma makala sasa unaweza kutoa maoni yako kuhusu hii picha hapo juu mungu. akubariki asante kwa kusoma ukurasa huu
Kutoka MNYLINGA PICHA STUDIO  

ENM STUDIO 


UNAWEZA KU COMMENT KUHUSU PICHA HII



Sawa tena huyu ni eliud novat 
Basii kama kawaida tunazidi kuufyka mwaka 2022 na sasa nikiwa zangu DSM tanzania ninayo fulaha sana kuwa hai katika mwaka huu 2022 ambao naamini ni mwaka mzuli kwetu sote namshukuru sana mwenyezi mungu kwa kuwa najua nilipo bila yeye nisinge kuwepo kabisa. 
            Tunazidi kuangazia kuhusu mambo ya PHOTOGRAPH/ucholaji 
               Tazama picha hii chini

Kama uionavyo picha hii hapo ni picha ambayo ukweli imechorwa kwa muda mrefu sana na mpaka sasa picha hii haijakamilika iko asilimia 70% kukamilika namaanisha kuna asilimia 30% zilizobaki ili picha hii umekamilishwa mpaka leo talehe 07-01-2022. Ikiwa nimeanza kuichora mnamo talehe 08-07-2021. Lakini unaweza ukashangazwa na muda ambao umetumika kuchora hii picha ukwerli

kutokana na majukumu mbalimbali ya kiuchumi na upambanaji mwingine nilikuwa natumia kwa siku kidogo sana kufanya kazi hii ya kuchora picha hii ilae nilikuja kusitisha zoezi hili kwa zaidi ya miezi 6 kutokana na changamoto chache. Ambazo ilikuwa sio lahisi mimi kutumia muda wangu kuichora picha nilianza kuchora picha hii nikiwa sehemu au ardhi tofauti tofauti zidi kama vile nilianza 2020 nikiwa DODOMA tanzania. Baadae nilikuja kuendea nikiwa DAR ES SALAAM na tena baadae nilikuja kwenda nyumbani huko MPWAPWA mkoani dodoma mpaka kwa kanda za juu kusini nikimaanisha IRINGA NJOMBE. MBEYA huko ndiko asili yangu na pia nilizaliwa huko 
Utapata pia history ya maisha yangu kiundani endeleafuata page mbalimbali zinazo fika MNYILINGA PHOTOS STUDIO 
kwa sasa ikiwa picha hii bado haijakamilika katika asilimia 70=% nikiwa tena jijini dar es salaam sija fahamu hasa nitaweza kukamilisha lini kwa sababu zile zile za kukosa muda wa kukamilisha kazi hii. 

Kikubwa ni namuomba tuu mungu azidi kutupa muda mwingi wa kuishi katika dunia hii naamini mungu yuko nasi wakati wote katika maisha yetu ya kila siku.

Ramani ya kijiji nilicho zaliwa

KIJIJI CHA KIKUYU 
Siku nyingi sana picha hii imechorwa nikiwa huko kijini KIKUYU VILLAGE 
      Ni muda mchache tu nilitumia kuchora lamani hii ya kijiji chetu cha kikuyu ukweli mimi nilivuta tu taswira jinsi kijiji chetu cha kikuyu kilivo ndipo nikachora lamani hii so ni lazima kuwe na makosa hii lamani japokiwa naamini lamani hii imekamilika bila makosa kwa asilimia 80% zote. kuwa najua kwa makadilio yangu kitaalamu ni asilimia 20% tuu niliyo kosea katika uchoraji wa hii lamani kosa kubwa sana nililo fanya kwa zaidi ya asilimia 14% ni katika vipimo
vya lamani mimi nilitumia vipimo vya akili zangu tu na wala sio vipimo vya kitaalamu zaidi. Lakini namshukuru mungu zaidi kwa kuwa hizo asilimia 80% zote nimezifanikisha kwaajili ya neema zake ahsante pia wewe msomaji kwa kusoma kipande hiki TAFADHARI naomba support zenu za ku comment ili nijue makosa YANGU. Na kuni follow au ku subscribe . Asanteni sana. Na .....67

# Mnyilinga picha studio 


        0684 8695 90          


Mnyilingaeliud@gmail.com

Facebook 
eliud novat mnyilinga 

YouTube 
TV ya ENM

           < Group Facebook >
https://www.facebook.com/groups/710157623491607/permalink/715984052908964/?app=fbl

           <Kikundi cha WhatsApp>

https://chat.whatsapp.com/LGvxlS8CCMl7xvhkbt3doE

.........................................

Alright once again this is eliud novat 
NaNamshukuru tena mungu tunazidi kusonga mbele na maisha yetu kama kawaida ...basi leo bana kunamtu alikuwa anafanya jalibio la kuingia katika acaunt yangu ya Facebook. Ambayo naweza kusema ni accaunt ambayo nilikuwa naitumia sana lakini mamlaka ya ulinzi ilifanya kazi yake akaunti yangu ili kufungwa sana ili kumzuia huyo mdukuzi (HACKER) ambae alitaka kuingia.
 Katika akaunti yangu mimi kwa siku hii ya leo nitazungumzia sana kuhusu HACKERS 
         Hii kitu inanipa ushawishi mkubwa sana wa mimi kusoma COMPUTER TECHNOLOGY nikijue kila kitu ambacho kinahusiana na mambo ya COMPUTER. 
               AKAUNTI YANGU IMEFUNGWA
si kwamba nimeshidwa kuifungua hii acaunt yangu lakini kuna tatizo kidogo katka mfumo wangu kwenye gmail za simu kuna mtu alikuwa anaitumia simu yangu akaunga account yake mwenyewe ya gmail then akaweka password ambayo anadai kaisahau kwa sasa pia namba ya simu iliyotumika kuunga gmail ilisha potea sasa hapa inakuwa. ni changamoto kidogo 

Any way nitalifanyia kazi hili siara na kusaidia akaunti yangu masomo kazi fresh kabisa najua ni ngumu sana lakini itakuwa sawa tuu leo ​​ni talehe 08-01-2021

Kwa sasa sina account official ambayo kazi 2678922



NEW
PAGE 

Katika maisha ya mwanadamu kila MTU ana future yake ambayo mimi kama kijana familia ya MNYLINGA FAMILY.   

Katika mfumo wa maisha kila MTU ana future yake ambayo mimi kama eliud novat mnyilinga ambae Nina tarajia kusoma masomo ya IT INTERNET kutokana na kuwa Na msukumo wa ki asilia wa kupenda Sana Mambo yanayohusiana Na computer system technology Na kadhawakadha    Nina vitu vingi vyangu Ni kama.  future ya baadae katika maisha ya hapa Duniani.  Nitaeleza kiundani katika ukurasa mwingine .+++++++±±
Mnyilinga eliud

    Happy New year ni 2022 hii hapa tena tunazidi Buchanan mbuga na kasi ya 4G kama siyo 5G kabisa. 
Ahsante mungu

PICHA 45654
NEW logo kila siku najitahidi kutengeneza LOGO mbalimbali zakitaalamu na muundo tofauti hizi ni simple LOGO lakini so mlefu ni  muda LOGO zenye movement au MOTION.  Najua wewe msomaji wa machapisho haya kutoka MNYLINGA PHOTOS STUDIO utafulahi kuona aina hizi za LOGO ambazo.  Hata wewe unaweza kupata kwa kupitia simu yako piga namba  0684 8685 90 
Piga sasa kwa ajili ya kupata  NEMBO  kali zaidi
  Kutoka 
MNYLINGA PICHA STUDIO 



Usisahau kutembelea FACEBOOK GROUP AMBAYO IMEA

NZISHWA 
 
02-01-2022

    PIGA CHINI 
KUNDI JIPYA 
           2  0  2  2


https://www.facebook.com/groups/253151803449631/

ELIUD NOVAT MNYILINGA 
Hii hapa ni fomu niliyo .jalibu kuiunda siku moja itakuja kuwa kweli


2022MPSXTRA



new projects from ENM











627726

mnyilinga Platform 2022

 



MP64.2023 

Powered by mnyilinga platform-com



BONYEZA          LINK.      KWENDA.   KWENYE.    PROJECT.     64


mnyilingaplatform.blogspot.com

64-MP


Karibu 

MNYILINGA-PLATFORM












DOWN EDITED BY eliud novat







BVB